No.1. Jennifer Lopez
Anautajiri wa dola milioni $250 ,jinsi gani alipata hu utajiri,??
Nikutokana na uigizaji wake, Mfanyabiashara na kazi yake ya uimbaji.
J-lo ni mwanada maaraufu mwenye maumbile makubwa ya makalio, ambayo
yanafanya ashikile nafasi ya kwanza
kwenye
orodha ya wanawake maarufu Hollywood. Inarepotiwa kuwa mataka yake
ameya weka bima ya dola milioni $27. Anapenda kujivunia kuonyesha assets
yake hiyo kwenye magazines cover ya Stuff magazine mwaka 2001. Ambalo
ni moja ya magazine iliyoweka histori ya rekodi ya gazeti lilouza
kuliko. Kiukweli hilo tako limegharimu maelfu ya dola na sio chini ya
hapo. Matako mengine ya nakuja na kuondoka lakini kwa Jlo atatumia kila
kitu kulinda tako lake. Lol
No.2 Kim Kardashian
Anautajiri wa dola milioni $35, jinsi alivyo upata huo utajiri, ??
utajiriwake umetokana , umodel, uigizaji, mwanamkemfanyabiashara,
Television Personality, na socialite. Anachukuwa nafasi ya pili kuwa ni
mwanamke mwenye Tako kubwa Hollywood, nalilionekana sana kwenye s*x tape
ambayo alikuwa nimmoja ya maboyfriend wake maarafu sana.
Naalishazushiwa kuwa matako yake ni yakutengeza lakini yeye alikataa
akasema no way its real.
3. Beyonce.
Anamiliki utajiri wa dola milioni $300 milioni. Jinsi gani
alivyotengeneza utajiri?? Dada huyu anaingiza pesa zake kwa kuwa
muandishi mzuri wa nyimbo, rekodi Producer, muigizaji, umodel, mvumbuzi
wa mavazi, na ni mfanyabiashara. Anajiita “b**t-y-l-i-c-i-o-u-s” .
Nahuyu anachukua nafasi ya 3 kwa kuwa na matako makubwa Hollywood
No.4 Serena Williams
Anautajiri wa dola miliobi $85, nautajiri wake unatokana na uchezaji wa
Tennis as Professional. Na nimaarufu kwa kwa kuwa na tako kubwa kwenye
tennis, lakini kutoka kwa serena mwnyewe anasema kuna mwanamke mwenye
matako makubwa kuliko yangu huko nje nikisimama nae ni aibu tu.
No.5 Nicki Minaj
Anautajiri wa dola milioni $14 ambao umetokana na uandishi wa mistari
yake na rapa, mwanadada huyo anapenda sana kuongelea kuhusu tako kila
wakati, hata kwenye interview iliotokea New York post Nicki Minaj
alikuwa anaongela kuhusu ruma za utengezaji wa matako yake. “absolutely
not” said Nicki Minaj alipokuwa anaulizwa kuhusu matako ya kutengeneza ,
“people will pick anything to talk about , and that happens to be the
thing at the moment’’. Alisema Nicki Minaj.
No.6 Vida Guerra
Anautajiri wa dola milioni 2.5 na amazitengeza kupitia kazi yake ya
umodel. Wakati hajulikani kama wanawake wengine waliopo kwenye orodha
yetu, Nyuma kwa Vida kunamilikiwa na dunia, alishinda FHM’s Best B*tt ,
kwenye the world award na sio mara moja. Ni model, muimbaji na mwigizaji
lakini anajivunia kwa kujilikana kwa umbo la mwili wake. Kiukweli
ameshinda tuzo ya best b*tt mara mbili .
No.7 Nicole “Coco” Austin
Anautajiri wa dola milioni 4 kutokana na umodel, reality Tv Personality ,
web personality. Hakuna wasi wasi wowote kuwa Mke wa Ice T , Nicole
Coco Austine anajivunia mwili wake sana. Anapenda kupost picha za
makalio yake sana kwenye Twitter,
No.8 Buffie Carruth
Buffie Carruth vile vile anajulikana kwa jina la Buffie The Body or
simply Buffie, ni model kutokea Athens, Georgia anajulikana kunekana
kwenye posing za hip hop zinaendana na magazine na kuonekana kwenye
video za hip hop. Shukuru kwa model kama Buffie The Body the Big Booty”
comple imefagia Us nzima nao inelekea to getting out of control.
No.9 Jessica Biel
Anautajiri wa dola milioni $ 18 , amepatamafanikio hayo kwa kuwa
muigizaji, model na mwimbaji , anachukua nafasi ya 9 kwa kuwa na makalio
makubwa kwa wanawake maarufu. Alianza kucheza kwenye tv kama mtoto
wakike wa muhubiri. Lakini umaarufu wake ulitoke bada yakupiga picha ya
utupu kwenye Gear Magazine akiwa na umri wa miaka 17.
10. Sofia Vergara
Anamiliki utajiri wa dola milioni 14, na utajiri huo unatokana na
uigizaji, modeling , mtangazaji wa television na mjasiriamali. Ni
muigiza wa modern family amefungasha kila mahali. Ni mdada mwenye
kipaji, mzuri na ana makalio mazuri yenye mvuto sana. Ame shikilia namba
tatu kwenye Askmen.com 99 Most Desirable Women wa 2011
11.Melyssa Ford
Anamiliki wa dola milioni 2. Na utajiri huo umetokana na uigizaji na
umodeling , anashikilia nafasi ya 11 kwa kubarikiwa na tako nzuri.
Kiukweli anajulikana kuwa naumbo zuri lenye mbinuko. Ameonyesha
anavyotingisha matako yake kwenye vido ya Jay-Z, Ghostface killah, na
Mystikal, anajulikana mwanamke mweusi mzuri sana duniani.
No.12 Eva Mendes
Anamiliki utajiri wa dola milioni 12. Ambazo amazitengeza kwa kazi zake
za uigizaji, model, uimbaji na ububifu. Eva Mendes maumbile yake
yanaweza kumbadilishi shoga kuwa mwanaume waukeli, eva aliamuwa kutikisa
dunia baada ya kutoka kwenye Peta akiwa mtupu. Kampeni ilifanyika
rockeffeller Plaza. Like mamlaka ya jiji ili waambia waandaji wasi to
mda kamili au sehemu itakapofanyika maana walikuwa wanaogopa kutengeneza
Mob scene.
No.13 Halle Berry
Anamiliki utajiri wa dola milioni $70 , ambazo zinatokana na uigizaji ,
na ni former model anachukua nafasi ya 13 kwa kuwa na makalio makubwa
holly wood. Na kucheza kwake kwenye movie ya swordfish na monster’s ball
imemfanya halle Berry’s kutikisa Hollywood na kwenye orodha yetu
anatinngisha pia kwa kuwa na makalio makubwa ndani ya Hollywood.
No.14 Scarlett Johansson.
Anautajiri wa dola milioni 35 ambazo amazitengeza kutokana na uigizaji
wa movie. Anachukua nafasi ya 14 ya wanawake wenye makalio makubwa
Hollywood, anamwili wenye mvuto sana kwenye big scree, ana anajivunia
kuwa nao, na haya ni maneno yake. “im curvy-I’m never going to be 5’11
and 120 pounds” “ but I feel lucky to have what I have got” na
tunafurahia kumuangalia lol
15. Shakira
Anautajiri wa dola milioni 140 ambazo amaezitengeza kwa kuwa mwimbaji,
na mtunzi mzuri wa nyimbo na record producer. Hakukosea kusema Hips
don’t lie na hata makalio yake vile never lie. Alichukua nafasi ya tatu
kwenye Vote poll ya dunia ya best butt. Ya mtandao wa WENN.com. shakira
alifunika kwenye album Laundry Service na kutingisha makalio yake juu ya
stage.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment