KAULI
HIZI (8) ZIMEKUWA NI COMMON KWA WADADA NOWDAYS, SIKATAI YAWEZEKANA
MREMBO AKAKWAMBIA MOJAWAPO KATI YA KAULI HIZI NA AKAWA KWELI ANAMAANISHA
LAKINI HAKIKA NI WACHACHE SANA AMBAO HUWA WANAMAANISHA WENGI WAO NI
KAMBA TU...TEK CARE!!!
1.Nina mpenzi ila yuko nje ya nchi
2. Jamaa yule ananisumbua sana ila mimi simtaki
3. Situmii mkorogo mimi nina natural color
4. Niko period.
5. Sikuwepo jana nilienda kumsalimia rafiki alinipa 50,000 ila hakunifanya kitu.
6. mie sikupendi kwa ajili ya fedha zako nakupenda wewe
7. Yule jamaa ni rafiki yangu tu
8. I love u too!

0 comments:
Post a Comment