Mwanaume anapaswa kujiamini na kuacha kujiuliza mara
mbilimbili ujasiri wako ndo utakaokufanya kumpata mwanamke yeyote
umpendae.
3. MSIFIE
2. ENDELEZA MAZUNGUMZO MAREFU;-Mwanaumeunapomfuata
mwanamke hakikisha unaanzisha mazungumzo marefu ambayo yatamfanya
mwanamke ajielezee na pia tambua mwanamke wanapenda wanaume wenye stori
nzuri.
3. MSIFIE
Hakikisha
unamsifia mwanamke jinsi alivyovaa,anavyoongea,rangi ya nguo yake kwa
kufanya hivyo itamfanya ajisikie mwenye amani mbele yako na atapenda
kuwa karibu na ww.
4. AHADI ZA KUMJALI
4. AHADI ZA KUMJALI
Mwanamke ni kiumbe
dhaifu hivyo anapenda kuwa anadeka,mwambie kuwa upo kwa ajili yake na
kwamba utamjali na pia fanya kitu chochote ili aamini hivyo.
5. USIJITAMBE MBELE YAKE
Mwanamke hapendi mwanaume mwenye kujisifu
kuhusu mafanikio yake ya kiuchumi bali hupenda mwanaume yule anayemweka
mbele yeye kuliko mali zake
0 comments:
Post a Comment