Tunaishi wote mtaani hivyo mara nyingi
tu hunipaga lift nikiwa labda natoka kazini au nikiwa naelekea kazini,
wakati mwingine akiwa mjini hunipigia simu ili turudi wote mtaani ila
niko na wakati mgumu sana huyu dada mrembo sana yani siwezi kuelezea
hapa mkanielewa , nguo anazovaaga akiwa anaendesha ni za hatari sana
yani hunifanya nimuwaze yeye tu siku nzima, sijui kwakweli nifanyaje
wakati mwengine natamani hata nipenyeze mkono hata ni mguse tu lakini
naogopa labda msaada wa lift unaweza kuishia hapo kama unavyojua usafiri
ni mgumu sana hapa mjini. Naombeni ushauri wadau..!!
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment