Ivi ikitokea mkeo kasafiri,siku moja unaamua kufanya usafi unaamua kumfulia nguo zake unapochukua mfuko wa nguo zake chafu unakuta DAWA ZA KIENYEJI mbili tofauti zikiwa zimefungwa na kufichwa chini kabisa,unahamaki na unaamua kumwita mtaalam wa tiba za asili,Mtaalam anakufahamisha kua dawa moja ilikua uwekewe kwenye maji ya kuoga na nyingine kwenye chakula,mala baada ya kutumia kile atakachotaka ndicho utakachofanya...Mke wako akirudi utamfanyaje?
About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment