Fashion
Designer Ally Remtullah akibugia Uume wa Keki yake iliyotengenezwa kwa
mfano wa Binadamu, Mwenyewe asema marafiki zake ndio waliomletea Cake
hiyo cku ya Birthday yake jumamosi pande za Serena Hotel, na marafiki
hao ndio waliomgandamiza na kumlazimisha Remtullah azile sehem hizo za
Kiume, ila yeye Sio mfuasi wa David Cameron na ana Girlfriend wake,
Vingine Mwachie Baba na mama!
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment