Tasnia ya uigizaji Tanzania maarufu kama
bongo muvie imekua ikipanda kila kukicha na kuwanufaisha wengi
wanaoamua kujiingiza huko na kubahatika kupata mafanikio makubwa. Wengi
wamenufaishwa kama kina Ray, Shilole, JB, Ndauka na wengine wengi.
Lakini bongo muvie hiyohiyo imejaa uchafu mwingi ambao behind the scene
hauelezeki......
Mademu wa bongo muvie wamekua ni watu wa kujiachia sana na kujisahau linapokuja suala la kwenye scene za mapenzi, Je kama wewe ni mwanaume rijali uliekamilika unaangalia mchumba wako anashikwashikwa kimahaba na jidume lingine utajisikiaje? Angalia Uwoya kwenye Oprah au Rose Ndauka kwenye Clinic Love....dah ni aibu tupu.
0 comments:
Post a Comment