MWANAMKE raia kutoka United States - alalama kitendo cha mume wake
kukataa kufanya tendo la ndoa pale akiwa na uhitaji wa kitu hicho
adimu, mwanamke huyo amtolea uvivu mumewe huyo ambaye yasemekana
anatabia ya ulevi kwa kutembea uchi wa mnyama mpka pale anapo ishi mume
wake huyo na kufanya uharibifu mkubwa katika nyumba ya mume wake huyo
kwa kuchoma moto baadhi ya vitu na kuvunja vunja furniture kibao
zilizopo ndani, bila hata haya ya watu walokuwa waimtazama aliendeleza
uharibifu wake huku akiwa mtupu hivo hivo mpaka pale polis walipo fika
na kumtuliza...
chanzo cha habari hii kinaeleza kuwa ujio wa polis kidogo
ulisaidia kumtuliza bibiye huyo....report kamili inadai sasa mumwewe
huyo kapigia simu ili aende polis los angels kujibia mashtaka hayo
...bwana huyo aliye fahamika kwa jina la
mlevi Ashely Marie Prenvost akarudi Glendale , Arizona nyumbani na
kukuta uharibifu mkubwa sana lakin hakua na jinsi ikambidi aende
kituoni....!
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment