H-Baba na mkewe Flora Mvungi wakilishana keki wakati wa bethidei ya H-Baba hivi karibuni.
Akipiga stori na Stori 3, Flora alisema maisha anayoishi yeye ni
tofauti sana na maisha wanayoishi wanandoa wengine, ni matamu kwa kuwa
hakuna ugumu wa kumuelewa mwezi wako katika majukumu yake ya kikazi hata
kama itamlazimu kukaa kambini.“Ujue wasanii wenzangu hawajagundua tu hicho kitu, ni raha sana mkioana wote mnafanya sanaa iwe muziki au filamu, hata kama mmoja shughuli zimembana ikamlazimu kulala nje na nyumbani ni rahisi mwenzako kukuelewa,” alisema Flora.
0 comments:
Post a Comment